bongogossip MKALI wa sinema za Kibongo, #AuntEzekiel amefungukia kuhusiana na ishu ya kushonewa nguo na mwanamitindo #HamisaMobeto, ambayo aliiva siku ya uzinduzi wa filamu yake na kusema kuwa kwa upande wake haoni shida yoyote kwani akivaa nguo aliyoshonewa na mwanamitindo huyo si jambo la ajabu.
_
#Aunt aliliambia Amani kuwa, anawashangaa wanaoshangaa ishu hiyo kwa sababu yeye na #Mobeto hawana ugomvi wowote na wala hajawahi kukosana naye, sasa kitakachomfanya ashindwe kuvaa nguo aliyomshonea ni kitu gani?
_
👉“Mimi ninawashangaa sana wanaoongea kuhusiana na kuvaa nguo ambayo nimeshonewa na Hamisa. Sioni tatizo kwani tofauti zake na mtu mwingine mimi hazinihusu,” alisema 
_
Watu wamekuwa wakimsema #Aunt mitandaoni wakihoji kuwa, anakuwaje karibu na #Mobeto anayedaiwa kutembea na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa sasa wakati yeye ni ‘Team’ Zari (Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, mpenzi wa zamani wa Diamond)!
_
_
#Bongogossip

6

MKALI wa sinema za Kibongo, #AuntEzekiel amefungukia kuhusiana na ishu ya kushonewa nguo na mwanamitindo #HamisaMobeto, ambayo aliiva siku ya uzinduzi wa filamu yake na kusema kuwa kwa upande wake haoni shida yoyote kwani akivaa nguo aliyoshonewa na mwanamitindo huyo si jambo la ajabu. _ #Aunt aliliambia Amani kuwa, anawashangaa wanaoshangaa ishu hiyo kwa sababu yeye na #Mobeto hawana ugomvi wowote na wala hajawahi kukosana naye, sasa kitakachomfanya ashindwe kuvaa nguo aliyomshonea ni kitu gani? _ 👉“Mimi ninawashangaa sana wanaoongea kuhusiana na kuvaa nguo ambayo nimeshonewa na Hamisa. Sioni tatizo kwani tofauti zake na mtu mwingine mimi hazinihusu,” alisema _ Watu wamekuwa wakimsema #Aunt mitandaoni wakihoji kuwa, anakuwaje karibu na #Mobeto anayedaiwa kutembea na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa sasa wakati yeye ni ‘Team’ Zari (Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, mpenzi wa zamani wa Diamond)! _ _ #Bongogossip

Comments (6)

mtoto.wa.magu

mtoto.wa.magu, 26 days ago

Team zari wanafiki

cuulestgul

cuulestgul, 26 days ago

Sawa

ngadu_msafi

ngadu_msafi, 26 days ago

cool

esha.salim.1420

esha.salim.1420, 26 days ago

Huyo aunty pia yeye hajambo nguo ilikua watu wanaogea kuhusu ni ile kavaa hamisa sio yake asipende kuwekwa midomoni sana wakati hana chakuzugumzwa

official_mziwanda

official_mziwanda, 26 days ago

Sawa

ommydimpoznation

ommydimpoznation, 26 days ago

Info