Healthymaisha Photos & Videos on Instagram

Report inappropriate content

sz_applecidervinegar

Apple cider vinegar for weight loss!!! UNATUMIAJE ACV YAKO KUKATA KILO/MANYAMA UZEMBE??? Haya wale wa kukata kilo tupo?? Kwenye suala zima la kupunguza uzito kwanza inategemea na juhudinzako mwenyewe. Lakini pia matumizi ya ACV kwenye kupunguza uzito yapo ya aina mbali mbali (recipe tofauti tofauti). Nitakuwa nikijaribu kuelezea moja moja kwa kadri nitakavyoweza. ACV + JUICE(MAJI) YA LIMAO + ASALI. Mahitaji muhimu: 1. Maji/juice ya limao 1/2 kijiko cha chakula 2. Asali mbichi kijiko 1 cha chakula 3. Organic/natural/raw ACV yenye mother 1/2 - kijiko 1 cha chakula. 4. Maji ya vuguvugu glasi moja. Changanya vyoote na unywe asubuhi kabla ya kula chochote na jioni kabla ya kulala. Inashauriwa kutokunywa zaidi ya vijiko 2 vya ACV kwa siku. Lakini binaadamu tonatofautiana. Kama ndo unaanza kuitumia anza na kipimo kidogo huku ukiongeza taratibu. Faida zake: 1. Inasaidia kuboost metabolism. 2. Inasidia kuweka sawa pH ya mwili. 3. Inasaidia kuboresha mmeng'enyo wa chakula n.k. #instafit #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instagood #instahealth #HealthyMarket #healthyvendors #healthymaisha #womenpower

2

sz_applecidervinegar

Apple cider vinegar hair rinse!!! Wapenda nywele tupo??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wewe unatumiaje ACV yako hasa kwenye kusuuza nywele?? JARIBU HII! Mahitaji muhimu: 1. Chupa ya kuspray au chupa unayoweza kutoa kimiminika kwa urahisi. Inaweza kuwa squeeze bottle au hata chupa yenye kifuniko halafu toboa kidogo juu. 2. Maji safi 3. Raw/organic ACV Changanya 1/2 kijiko cha chakula - vijiko 4 vya chakula ACV kwenye maji glasi 1. Weka maji yako kwenye chupa yako uliyoiandaa (hakikisha ni safi). Osha nywele zako vizuri na shampoo yako unayotumia. Baada ya kusafisha vizuri na maji na kuzifuta. Chukua chupa yako yenue mchanganyiko wa ACV na maji na uspray kwenye nywele zako (bado zikiwa na maji maji). Subiri kwa muda wa dakika 2 hivi na uoshe na maji au unaweza kupaka deep conditioner yako na kuendelea na taratibu nyengine. Faida: Inasaidia kuondoa muwasho kwenye ngozi Inasaidia kuondoa mabaki ya shampoo kwenye ngozi. Inasaidia kuipa nywele mng'ao. NB: Kipimo hasa cha kutumia huwa inategemea na aina ya nywele yako. Kama nyweke yako ni kavu tumia ACV kidogo. Pia kwa kuwa tunatofautiana unaweza kuanza na kipimo kidogo huku ukiangalia response then ongeza taratibu mpaka utakapoona inakupa matokeo murua. Inashauriwa kutumia Rinse hii mara 2 kwa mwezi๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜!!! Enjoy!! #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instaprenuer๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instahealth #HealthyMarket #healthyvendors #healthymaisha #healthyhair #healthylifestyle

3

neemalugangira

#KumbukumbuMwaka2018 Timu yangu ya #HealthyMaisha ambayo tunajiita #TeamKaziKazi tulipata mafunzo maalumu yaliondaliwa na #BoPInnovation ya #Uholanzi kwa ajili yetu kufuatia #HealthyMaisha kushinda #TuzoYaUbunifu mwezi wa 10 mwaka huu #Nairobi ๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†. . . . . Tumeingia 2019 tukiwa na mtizamo, fikra na mkakati mpya ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’š. . . . . Tunajivunia kuwa Balozi wa Biashara Zinazoboresha Lishe Barani Africa kupitia Mpango wa Kuboresha Lishe Duniani "Global Alliance for Improved Nutrition" #SUNBizNetAmbassador ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ. . . . . Mwaka huu 2019, InshaAllah tutafungua tawi letu nje ya #Dar na hadi sasa shindano kubwa lipo kati ya #Dodoma na #Kagera Je, nini maoni yako? #HealthyMaisha twende wapi hata kama sio kati ya mikoa hii miwili? Tusaidieni mawazo โค. . . . . #MbarazaKagera #BintiLugangira #ProudMotherOfTwo #ChangeAgent

0

#KumbukumbuMwaka2018 Kwa #HealthyMaisha ni washindi wa #TuzoYaUbunifu katika biashara zinazolenga kuboresha lishe barani #Afrika tulipata fursa ya kushiriki Mkutano wa Dunia Unaolemga Kuboresha Lishe Duniani ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ† Kupitia mkutano huu, niliweza kukutana na kubadilishana mawazo na; 1. Mhe. Waziri Mkuu wa Rwanda 2. Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anaesimamia masuala ya Lishe 3. Mkurugenzi Mtendaji wa Mkakati wa Kuboresha Lishe Duniani "Scaling Up Nutrition Movement" 4. Msimamizi wa Masuala ya Lishe wa Umoja wa Ulaya "European Union" ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ #MbarazaKagera #BintiLugangira #ProudMotherOfTwo #ChangeAgent

0

neemalugangira

#KumbukumbuMwaka2018 Ijapokuwa biashara yangu ya #HealthyMaisha ilikuwa ina kama miezi 4 tokea ianze kufanya kazi rasmi, mimi na timu yangu #TeamKaziKazi tuliamua kuthubutu na kuingia katika shindano la biashara zinazolenga kuboresha lishe barani Afrika. Awamu ya kwanza ya shindano hili lilikuwa katika kila nchi ambapo #Tanzania ziliomba zaidi ya kampuni 50 na sisi #HealthyMaisha tukaingia tano bora hivyo kupata nafasi ya kushiriki Fainali ambazo zilikuwa #Nairobi #Kenya Zaidi ya kampuni 450 barani #Afrika ziliingia katika shindano hili na #HealthyMaisha tuliingia tano bora katika Fainili hizi na kushinda #TuzoYaUbunifu katika biashara zinazolenga kuboresha lishe barani Afrika๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ† Pia, tulithubutu kunadi juice zetu za afya zenye kukidhi viwango vya hali ya juu kwa Mhe. Rais Mstaafu, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete hadi akakubali aonje juice zetu hivyo tulipata fursa ya kumuandalia juice maalumu ambayo aliipenda sana na kuamua kuwa mdau wetu ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ #MbarazaKagera #BintiLugangira #ProudMotherOfTwo #ChangeAgent

0

neemalugangira

#KumbukumbuMwaka2018 Tulianza kufanya kazi rasmi #HealthyMaisha mwezi Juni, 2018 na hadi mwezi Disemba 2018 tulishashiriki matamasha yanayohusiana na afya kama 8 na hizi ni picha chache kutoka matamasha 5 ๐Ÿ˜Ž Tunafikiria kuandaa tamasha letu dogo nje ya Dar lakini je, ni mkoa gani tunaweza kupata mwitikio mkubwa? ๐Ÿค” Tusaidieni mawazo ๐Ÿ™ #MbarazaKagera #BintiLugangira #ProudMotherOfTwo #ChangeAgent

1

neemalugangira

#KumbukumbuMwaka2018 Hizi ni juisi na vyakula ambavyo #HealthyMaisha tunategeneza. Kwakuwa tumepanga kufungua tawi moja mkoa mwingine mwaka huu ๐Ÿ˜… Je, twende mkoa gani? ๐Ÿค” #MbarazaKagera #BintiLugangira #ProudMotherOfTwo #ChangeAgent

Unatumiaje ACV kujitibia UTI?? Jaribu hii: Weka ACV ya kutosha kwenye ndoo yako ya maji ya bafuni (iwe ya kutosha mfano wa nusu kikombe cha chai kwenye lita 5 za maji) hakikisha kila unapoenda msalani unatumia maji haya kujisafishia na ukimaliza hapo jikaushe vizuri tumia hii mpaka utakapopona kabisa. Vile vile unaweza kutumia kijiko 1 cha chakula ACV na asali kijiko 1 weka kwenye maji glasi 1 na unywe walau mara 1 kwa siku......JARIBU SASA!! NB: Hakikisha ACV yako haijafanyiwa pasteurization na ni yenye mother!!! Je wewe ni mkazi wa Iringa, Dar, Arusha, katavi (mpanda), Mbeya au Dodoma na unahitaji organic apple cider vinegar yenye mother?? Usiwaze sz_applecidervinegar ipo karibu yako. Bei zetu ni nafuu sana. Umebanwa ofisini huwezi toka?? Usijali tunakuletea mpaka mlango kwa gharama nafuu sana. Karibu wote. #instagood #instahealth #instafit #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instaprenuer๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha 0658024103

Weightloss bae๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š, je wewe ni mkazi wa Iringa, Dar, Arusha, katavi (mpanda) au Dodoma na unahitaji organic apple cider vinegar yenye mother?? Usiwaze sz_applecidervinegar ipo karibu yako. Bei zetu ni nafuu sana. Umebanwa ofisini huwezi toka?? Usijali tunakuletea mpaka mlango kwa gharama nafuu sana. Karibu wote. #instagood #instahealth #instafit #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instaprenuer๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha 0658024103

0

healthymaisha

TAG THEM ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ #healthymaisha #healthyliving #Healthy2019

9

healthymaisha

Green Avocado & Orange Smoothie Recipe: ๐Ÿฅ‘๐ŸŒ๐ŸŠ๐Ÿƒ - Refrigerated Almond Milk - Avocado - Oranges - Baby spinach leaves - Banana Call 0764 223078 for Orders and more information on our #smoothie and #juice recipes #healthymaisha #healthyliving #juice #smoothie #healthyrecipes #healthyjuicing

0

sz_applecidervinegar

#Mbeya Tumewafikia.......wakala wetu namba zake zipo juu hapo...... Hauhitaji kuhangaika tena na UTI, FUNGUS, weightloss na mambo ya jikoni. Natural, organic applecider vinegar yenye mother inapatikana kwetu kwa bei nafuu sana!! #instagramers #insterprenuer #instahealth #healthylifestyle #healthymaisha #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

0

sz_applecidervinegar

Weightloss bae๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š, je wewe ni mkazi wa Iringa, Dar, Arusha au Dodoma na unahitaji organic apple cider vinegar yenye mother?? Usiwaze sz_applecidervinegar ipo karibu yako. Bei zetu ni nafuu sana. Umebanwa ofisini huwezi toka?? Usijali tunakuletea mpaka mlango kwa gharama nafuu sana. Karibu wote. #instagood #instahealth #instafit #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instaprenuer๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha 0658024103

5

healthymaisha

#smoothiepacks available call 0764 223078 ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

2

sz_applecidervinegar

Weightloss bae๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š, je wewe ni mkazi wa Iringa, Dar, Arusha, katavi (mpanda) au Dodoma na unahitaji organic apple cider vinegar yenye mother?? Usiwaze sz_applecidervinegar ipo karibu yako. Bei zetu ni nafuu sana. Umebanwa ofisini huwezi toka?? Usijali tunakuletea mpaka mlango kwa gharama nafuu sana. Karibu wote. #instagood #instahealth #instafit #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instaprenuer๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha 0658024103

8

sz_applecidervinegar

Weightloss bae๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š, je wewe ni mkazi wa Iringa, Dar, Arusha au Dodoma na unahitaji organic apple cider vinegar yenye mother?? Usiwaze sz_applecidervinegar ipo karibu yako. Bei zetu ni nafuu sana. Umebanwa ofisini huwezi toka?? Usijali tunakuletea mpaka mlango kwa gharama nafuu sana. Karibu wote. #instagood #instahealth #instafit #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instaprenuer๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha

8

sz_applecidervinegar

#Dodoma Tumewafikia.......wakala wetu namba zake zipo kwenye post...... Hauhitaji kuhangaika tena na UTI, FUNGUS, weightloss na mambo ya jikoni. Natural, organic applecider vinegar yenye mother inapatikana kwetu kwa bei nafuu sana!! #instagramers #insterprenuer #instahealth #healthylifestyle #healthymaisha #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

0

sz_applecidervinegar

#Arusha Tumewafikia.......wakala wetu namba zake zipo kwenye post...... Hauhitaji kuhangaika tena na UTI, FUNGUS, weightloss na mambo ya jikoni. Natural, organic applecider vinegar yenye mother inapatikana kwetu kwa bei nafuu sana!! #instagramers #insterprenuer #instahealth #healthylifestyle #healthymaisha #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

0

sz_applecidervinegar

#dar Tumewafikia.......wakala wetu namba zake zipo kwenye post...... Hauhitaji kuhangaika tena na UTI, FUNGUS, weightloss na mambo ya jikoni. Natural, organic applecider vinegar yenye mother inapatikana kwetu kwa bei nafuu sana!! #instagramers #insterprenuer #instahealth #healthylifestyle #healthymaisha #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

0

there_is_sabatele

๐Ÿ”ฅMango raspberry smoothie!!๐Ÿ“ . Would You Try This? Tag someone who loves smoothies! ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ Ingridients 1 cup mango 1 ripe banana 4 raspberries 1 tsp honey 3/4 cup almond milk 4 ice cubes 8 raspberries 1 tsp chia seeds Blend everything except for the raspberries and chia seeds for 1 minute. In a separate glass, add raspberries and chia seeds and smash it up. Carefully pour the mango raspberry smoothie in the glass and enjoy!! ๐Ÿ’– . #smoothie #healthymaisha#healthyliving#eatwel.

0

sz_applecidervinegar

Wapendwa wateja wetu kutokana na maombi yenu na ushauri wenu tunapenda kuwatangazia kuwa. Kutokana na maboresho ya bidhaa na huduma tutakuwa na mabadiriko ya bei ya bidhaa zetu. Bei zetu zitakuwa kama ifuatavyo: 1. Lita 1=20000/- 2. 250mls=6000/- Vilevile tunapenda kuwataarifu kwamba mpaka sasa tuna mawakala mikoa 4 1. Dar. - @neemamramba6 0712533465 2. Dodoma - @phonsina 0713487799 3. Arusha - @teddyjoo2 0767053655/0685053655. 4. Katavi (Mpanda) - 0623661434 HAYA SASA WANA KATAVI TUMEWASOGEZEA JIRANI!! Sambamba na hayo tunapenda kuwatangazia kwamba nafasi za uwakala bado zipo wazi kwa mikoa iliyobakia. Videzo na masharti kuzingatiwa. Karibuni sana. SZ Enterprises team. Love and value our customers. #instagood #instagramers #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instafit #instahealth #Tanzanianproduct #tanzania #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha

0

sz_applecidervinegar

Weightloss bae๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š, je wewe ni mkazi wa Iringa, Dar, Arusha au Dodoma na unahitaji organic apple cider vinegar yenye mother?? Usiwaze sz_applecidervinegar ipo karibu yako. Bei zetu ni nafuu sana. Umebanwa ofisini huwezi toka?? Usijali tunakuletea mpaka mlango kwa gharama nafuu sana. Karibu wote. #instagood #instahealth #instafit #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instaprenuer๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha 0658024103

4

healthymaisha

Simply #beautiful ๐Ÿ˜‹๐Ÿคค Describe this in one word๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ’ฅ โž– โž– โž– Time to look at some of the health benefits of eating fruit salads WEIGHT LOSS ๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ Fruits are mainly composed of water, therefore, contain no calories.ย For those who want to lose weight or want to avoid gaining those extra pounds, fruit salad can be an excellent choice. FIBER CONTENT ๐Ÿฅ‘๐Ÿฅ‘๐Ÿฅ‘๐Ÿฅ‘ Many fruits have huge amounts of fiber in them. Fibers are very important in our diet.ย Our body canโ€™t process fiber, so whatever comes in, comes right out.ย That means that they will solve problems with constipation, they will clean your bowels and they will reduce the chance of getting colon cancer. FOLIC ACID ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ Fruits contain folic acid which is important for our red blood cells. Folic acid is also very important in pregnancy for the healthy development of foetus. HIGHER ENERGY LEVELS ๐Ÿฅ๐Ÿฅ๐Ÿฅ๐Ÿฅ Ever wondered why people who exercise often eat lots of fruits? The answer is simple, many fruits contain vitamins that can boost your energy. A decent fruit salad can leave you feeling like Mayweather. DAILY NEEDS OF VITAMINS AND MINERALS ๐ŸŒ๐ŸŒ๐ŸŒ๐ŸŒ๐ŸŒ Remember we already mentioned thatย fruits are filled with vitamins and minerals.ย Aย combination of multiple types of fruit in the form of a salad however, can satisfy your recommended daily intake of almost every vitamin and mineral. ANTIOXIDANTS ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ Many fruits contain antioxidants which are responsible for destroying free radicals in our bodies.ย Free radicals can damage our cells and cause a number of different cancers. HEALTHY SKIN AND HAIR ๐Ÿ‹๐Ÿ‹๐Ÿ‹๐Ÿ‹ Studies have found that carotenoids, the antioxidants in brightly coloured fruits and vegetables, can reduce our skinโ€™s sensitivity to the sun.Vitamin C helps in the production of collagen that strengthens the capillaries that supply the hair shafts #healthymaisha #healthyliving #fruitsalad #freshfruits #fruitbreakfast #healthylife #healthylifestyle #Tanzaniawellrepresented #tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #daressalaam

1

sz_applecidervinegar

Wapendwa wateja wetu kutokana na maombi yenu na ushauri wenu tunapenda kuwatangazia kuwa. Kutokana na maboresho ya bidhaa na huduma tutakuwa na mabadiriko ya bei ya bidhaa zetu. Bei zetu zitakuwa kama ifuatavyo: 1. Lita 1=20000/- 2. 250mls=6000/- Vilevile tunapenda kuwataarifu kwamba mpaka sasa tuna mawakala mikoa 3 1. Dar. - @neemamramba6 0712533465 2. Dodoma - @phonsina 0713487799 3. Arusha - @teddyjoo2 0767053655/0685053655. Sambamba na hayo tunapenda kuwatangazia kwamba nafasi za uwakala bado zipo wazi kwa mikoa iliyobakia. Videzo na masharti kuzingatiwa. Karibuni sana. SZ Enterprises team. Love and value our customers. #instagood #instagramers #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instafit #instahealth #Tanzanianproduct #tanzania #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha

0

sz_applecidervinegar

Killer feedback๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜. Kupungua ni juhudi yako mwenyewe. ACV+ healthy lifestyle ndo habari ya mjini. Tumewasogezea huduma jirani zaidi. Dodoma, Arusha na Dar tuna mawakala!!! #instagramers #instafit #weightlosstransformation #weightlosstips #insterprenuer #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha

0

healthymaisha

๐ŸLIKE, COMMENT, SHARE & TAG๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ โž– โž– Alafu did you know ๐Ÿ‘‰ #Pineapplefriedrice can help Boost Immunity? This is because of the important role of vitamin C in #friedrice. Vitamin C contains antioxidants that can boost immunity. so you are not susceptible to disease ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ โž– โž– #healthylunch #healthy #healthymaisha #pineapple๐Ÿ #pineapplefriedrice #healthyliving #Healthy2019

0

sz_applecidervinegar

Weightloss bae๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š, je wewe ni mkazi wa Iringa, Dar, Arusha au Dodoma na unahitaji organic apple cider vinegar yenye mother?? Usiwaze sz_applecidervinegar ipo karibu yako. Bei zetu ni nafuu sana. Umebanwa ofisini huwezi toka?? Usijali tunakuletea mpaka mlango kwa gharama nafuu sana. Karibu wote. #instagood #instahealth #instafit #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instaprenuer๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha 0658024103

0

healthymaisha

TAG SOMEONE WHO NEEDS TO EAT FRUITS FOR BREAKFAST ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ . . . #Swipeleft for #fruitbreakfast ideas๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜‹๐Ÿคค #healthybreakfast #healthymaisha #healthy2019 #healthyliving #healthy

2

sz_applecidervinegar

Wapendwa wateja wetu kutokana na maombi yenu na ushauri wenu tunapenda kuwatangazia kuwa. Kutokana na maboresho ya bidhaa na huduma tutakuwa na mabadiriko ya bei ya bidhaa zetu. Bei zetu zitakuwa kama ifuatavyo: 1. Lita 1=20000/- 2. 250mls=6000/- Vilevile tunapenda kuwataarifu kwamba mpaka sasa tuna mawakala mikoa 3 1. Dar. - @neemamramba6 0712533465 2. Dodoma - @phonsina 0713487799 3. Arusha - @teddyjoo2 0767053655/0685053655. Sambamba na hayo tunapenda kuwatangazia kwamba nafasi za uwakala bado zipo wazi kwa mikoa iliyobakia. Videzo na masharti kuzingatiwa. Karibuni sana. SZ Enterprises team. Love and value our customers. #instagood #instagramers #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instafit #instahealth #Tanzanianproduct #tanzania #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha

0

there_is_sabatele

#Repost @healthymaisha โ€ข โ€ข โ€ข #Repost @healthymaisha โ€ข โ€ข โ€ข Breakfast Goals? Tag a friend who should go #healthy in 2019๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ #Breakfast #2019 #healthybreakfast #healthymaisha

4

sz_applecidervinegar

Wapendwa wateja wetu kutokana na maombi yenu na ushauri wenu tunapenda kuwatangazia kuwa. Kutokana na maboresho ya bidhaa na huduma tutakuwa na mabadiriko ya bei ya bidhaa zetu. Bei zetu zitakuwa kama ifuatavyo: 1. Lita 1=20000/- 2. 250mls=6000/- Vilevile tunapenda kuwataarifu kwamba mpaka sasa tuna mawakala mikoa 3 1. Dar. - @neemamramba6 0712533465 2. Dodoma - @phonsina 0713487799 3. Arusha - @teddyjoo2 0767053655/0685053655. Sambamba na hayo tunapenda kuwatangazia kwamba nafasi za uwakala bado zipo wazi kwa mikoa iliyobakia. Videzo na masharti kuzingatiwa. Karibuni sana. SZ Enterprises team. Love and value our customers. #instagood #instagramers #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instafit #instahealth #Tanzanianproduct #tanzania #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha

0

healthymaisha

TAG SOMEONE WHO NEEDS TO SEE THIS๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ #healthymaisha #healthyeating

1

sz_applecidervinegar

Weightloss bae๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š, je wewe ni mkazi wa Iringa, Dar, Arusha au Dodoma na unahitaji organic apple cider vinegar yenye mother?? Usiwaze sz_applecidervinegar ipo karibu yako. Bei zetu ni nafuu sana. Umebanwa ofisini huwezi toka?? Usijali tunakuletea mpaka mlango kwa gharama nafuu sana. Karibu wote. #instagood #instahealth #instafit #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instaprenuer๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha 0658024103

3

healthymaisha

Breakfast Goals? Tag a friend who should go #healthy in 2019๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ #Breakfast #2019 #healthybreakfast #healthymaisha

18

sz_applecidervinegar

Wapendwa wateja wetu kutokana na maombi yenu na ushauri wenu tunapenda kuwatangazia kuwa. Kutokana na maboresho ya bidhaa na huduma tutakuwa na mabadiriko ya bei ya bidhaa zetu. Bei zetu zitakuwa kama ifuatavyo: 1. Lita 1=20000/- 2. 250mls=6000/- Vilevile tunapenda kuwataarifu kwamba mpaka sasa tuna mawakala mikoa 3 1. Dar. - @neemamramba6 0712533465 2. Dodoma - @phonsina 0713487799 3. Arusha - @teddyjoo2 0767053655/0685053655. Sambamba na hayo tunapenda kuwatangazia kwamba nafasi za uwakala bado zipo wazi kwa mikoa iliyobakia. Videzo na masharti kuzingatiwa. Karibuni sana. SZ Enterprises team. Love and value our customers. #instagood #instagramers #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instafit #instahealth #Tanzanianproduct #tanzania #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha

3

sz_applecidervinegar

Wapendwa wateja wetu kutokana na maombi yenu na ushauri wenu tunapenda kuwatangazia kuwa. Kutokana na maboresho ya bidhaa na huduma tutakuwa na mabadiriko ya bei ya bidhaa zetu. Bei zetu zitakuwa kama ifuatavyo: 1. Lita 1=20000/- 2. 250mls=6000/- Vilevile tunapenda kuwataarifu kwamba mpaka sasa tuna mawakala mikoa 2. 1. Dar (tutawatangazia soon account zao na namba zao huduma zote hadi delivery zitakuwepo) 2. Dodoma. Sambamba na hayo tunapenda kuwatangazia kwamba nafasi za uwakala bado zipo wazi kwa mikoa iliyobakia. Videzo na masharti kuzingatiwa. Karibuni sana. SZ Enterprises team. Love and value our customers. #instagood #instagramers #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #instafit #instahealth #Tanzanianproduct #tanzania #bidhaatz๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthylifestyle #HealthyMarket #healthymaisha

6

We wish you you, your family and friends a Merry Christmas and happy festive season!! #merrychristmas #merry_christmas #merryxmas๐ŸŽ„ #healthymaisha #christmascookies

2

healthymaisha

0

healthymaisha

Today was the third and last day of our tailored #bopinnovationaward workshop; We learnt a great deal indeed and we can not wait to start working in 2019๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’š . . . . . . Our #Roadto2019 is very bright and we don't promise to slow it down; Stay tuned on @healthymaisha and you will enjoy all the good stuff we have prepared for you๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. . . . Thank you @gainalliance @gainalliance and @sunbiznet @bopinnovation for believing in #healthymaisha and for your continued support! . . . . . #healthyjuice #healthymeals #raisingnutritionawareness #nutritionhealthcoaching #transformingyourlife #healthylunchonabudget #togetherletsbringhealthyback #nutripreneur #scalingupnutrition #sunpitchcompinnovationawardwinner #endorsedbyapresident

0

healthymaisha

What are you doing today? Sisi we are in class learning how to make #healthymaisha better for you ๐Ÿ˜Š๐Ÿ”ฅWhen you win the #Africa #InnovationAward in #Nutriprenuers you dont sit and relax but you work harder for #MoreWinning๐Ÿ† We can't wait to share with you what we have learnt and for you to meet the new #healthymaisha ๐Ÿ’š๐Ÿ’š . . . . . . #healthymaisha #healthyjuice #healthymeals #raisingnutritionawareness #nutritionhealthcoaching #transformingyourlife #healthylunchonabudget #togetherletsbringhealthyback #nutripreneur #scalingupnutrition #sunpitchcompinnovationawardwinner #endorsedbyapresident

0

healthymaisha

Shule imepamba moto ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅTokea tumeshinda #TuzoYaUbunifu katika shindano la biashara za lishe barani #Africa tumekuwa katika mkakati mzito wa kuboresha namna ambavyo tutawawezesha muweze kupata huduma zetu kwa urahisi na ufanisi mkubwa zaidi na bila ya kusahau kufurahia chakula na juisi tamu zinazofaa kwa afya yako ๐Ÿ˜‹๐Ÿ’š๐Ÿ’š. . . . . Tunawashukuru sana kwa kutupa maoni mbalimbali na msichoke maana tupo kwa ajili yenu ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. . . . . ๐Ÿ”œ๐Ÿ”œ๐Ÿ”œ๐Ÿ”œ๐Ÿ”œ๐Ÿ”œ๐Ÿ”œ๐Ÿ”œ๐Ÿ”œ๐Ÿ”œ. . . . . .. #healthymaisha #healthyjuice #healthymeals #raisingnutritionawareness #nutritionhealthcoaching #transformingyourlife #healthylunchonabudget #togetherletsbringhealthyback #nutripreneur #scalingupnutrition #sunpitchcompinnovationawardwinner #endorsedbyapresident

2

healthymaisha

๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ #TuzoYaUbunifu tuliyoshinda kwenye shindano la biashara za lishe barani #Afrika limetuwezesha kuandaliwa semina maalumu na #BoPInnovation ya #Uholanzi kwa lengo la kutuimarisha kimkakati #WikiYaUshindi #MoreWinning๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†. . . . . #healthymaisha #healthyjuice #healthymeals #raisingnutritionawareness #nutritionhealthcoaching #transformingyourlife #healthylunchonabudget #togetherletsbringhealthyback #nutripreneur #scalingupnutrition #sunpitchcompinnovationawardwinner #endorsedbyapresident

0

healthymaisha

Usiwaze lunch, waza #healthymaisha ๐Ÿ’š๐Ÿ˜Š . . . . #healthymaisha tuna vyakula vya kuimarisha afya yako na ya familia yako ๐Ÿ˜‹๐Ÿ’š๐Ÿ’š Piga 0764223078 kuweka order yako ya kesho Lunch๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Haturudii menu hadi miezi 2; na kila menu inakuja na chupa ya #healthyjuice; juisi zetu ni za kuimarisha na kusafisha mwili wako, hatuongezi maji wala chumvi wala sukari ๐Ÿ˜… #karibunisana. . . . . Tutembelee ofisini kwetu, barabara ya Chole, tunatizamana na njia ya kwenda Slipway/DoubleTree mkabala na ofisi za Nabaki Afrika Masaki, Dar es Salaam ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Tuko wazi kila siku za wiki kuanzia saa 3:30asubui ๐Ÿ™๐Ÿ™. . . . . #tunaimarishaafyayako #jengamwiliwaafya #healthymaisha #healthymeals #healthylunchonabudget #healthyjuice #healthytanzania #urbannutrition

0

healthymaisha

We r already making progress on an immediate key milestone #BoPInnovation challenged us with under technical support we getting from them as part of #InnovationAward we won at #Africa #SunPitchComp ๐Ÿ’ฅ. . . . . #Stephen stopped by and was totally blown away ๐Ÿ™ We cant wait to share with you all ๐Ÿ’š๐Ÿ’š. . . . . #healthymaisha #healthyjuice #raisingnutritionawareness #nutritionhealthcoaching #transformingyourlife #togetherletsbringhealthyback #nutripreneur #scalingupnutrition #sunpitchcompinnovationawardwinner #endorsedbyapresident

0

healthymaisha

0

healthymaisha

It was an absolutely awesome to be reconnected to our fellow #LisheAccelerator challenge participants and #GAINTanzania and #SaharaVentures Together we are championing #EndMalnutrition in #Tanzania We #WinningTogether ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†. . . . . #healthymaisha #healthyjuice #raisingnutritionawareness #nutritionhealthcoaching #transformingyourlife #togetherletsbringhealthyback #nutripreneur #scalingupnutrition #sunpitchcompinnovationawardwinner #endorsedbyapresident

2

healthymaisha

We humbled that "Global Alliance for Improved Nutrition" #GAINTanzania Country Director #Enock is very happy with our #SocialMediaEngagement and this right here is how we raise nutrition awareness for #UrbanNutrition We are proud @SUNBizNet Ambassador from #Tanzania ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ†. . . . . #healthymaisha #healthyjuice #raisingnutritionawareness #nutritionhealthcoaching #transformingyourlife #togetherletsbringhealthyback #nutripreneur #scalingupnutrition #sunpitchcompinnovationawardwinner #endorsedbyapresident

1

healthymaisha

Remember, we won the #InnovationAward at the #Africa #SunPitchComp back in October this year in #Nairobi #NAIF ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ.. . . . . Well, this is an exciting week for us #HealthyMaisha because #Stephen from #BoPInnovation has just flown in #Tanzania to take our technical support to the next level and from the airport, he checked into his hotel and straight got down to business ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. . . . . Our #InnovationAward gives us the much needed #TechnicalSupport from #BopInnovation in partnership with #GAIN "Global Alliance for Improved Nutrition" and #SUNBusinessNetwork "Scaling Up Nutrition Business Network"๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†. . . . . We however never expected #BoPInnovation will fly into #Tanzania and spend the week with us coz we assumed we'll do everything online ๐Ÿ˜… BUT here they are #Stephen is here ๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š. . . . . #healthymaisha #healthyjuice #raisingnutritionawareness #nutritionhealthcoaching #transformingyourlife #togetherletsbringhealthyback #nutripreneur #scalingupnutrition #sunpitchcompinnovationawardwinner #endorsedbyapresident

2

healthymaisha

Today #GAINTanzania have organised a special day of #Reflection for the #LisheAccelerator that led #HealthyMaisha to reach the finals in #Nairobi at the #Africa #SunPitchComp where we ended up being amongst #Top5Winners ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ† #SunPitchCompInnovationAwardWinner ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ We are happy to be here and share our experience which will motivate others to dare and go harder next year ๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š . . . . . #healthymaisha #healthyjuice #raisingnutritionawareness #nutritionhealthcoaching #transformingyourlife #togetherletsbringhealthyback #nutripreneur #scalingupnutrition #sunpitchcompinnovationawardwinner #endorsedbyapresident

0

healthymaisha

@healthymaisha all our healthy juices are cold pressed with no โœ–๏ธโœ–๏ธโœ–๏ธโœ–๏ธ added preservatives or even Water โœ–๏ธโœ–๏ธ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ . . . . . . We are creating #healthyjuices that will cleanse your body from any accumulated fats,toxins, chemicals etc.... You will be cleansed just from trying one of our #meangreenjuices๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š . . . . . Contact us today through DM or call 0764322078 to place your order๐Ÿ‘‘๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’š #healthymaisha #healthyjuice #greenjuice #healthy

1

healthymaisha

What's your idea #healthybreakfast recipe? For me #avocadoes will always be involved ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ๐Ÿฅ‘ ๐Ÿฅ‘ ๐Ÿฅ‘ #healthy #breakfast #inspiration #healthymaisha #healthylifestyle #maishalifestyle

1

healthymaisha

Je, wewe ni mwanaume unayetaka kujikinga na matatizo ya nguvu za kiume? ๐Ÿค”. . . . . Je, wewe ni mwanamke ambaye unapata maumivu makali ukiwa katika hedhi au mzunguko wako wa hedhi haupo katika ratiba inayoeleweka kama siku 28?๐Ÿค”. . . . . Je, wewe haupo katika makundi hayo lakini ungependa kujijengea uelewa juu ya afya ya uzazi na mchango wa lishe katika eneo hilo? ๐Ÿค”. . . . . Inawezekana pia unatamani kujua jinsi ya kuondoa sumu mwilini mwako zinazosababisha magonjwa mengi sugu yanayotokana na mfumo wa maisha hususan lishe n.k.??. . . . . Leo kwenye ofisi zetu za #healthymaishastudio mtaalamu wetu @neemalugangira #certifiednutritionhealthcoach #certifiedjuicetherapist #certifiedculinarynutritionist #certifiednutritionchef aliongoza darasa maalumu la kujifunza aina ya mapishi muhimu katika kuimarisha na kulinda afya yako ya nguvu za kiume, na aina ya mapishi kwa kina dada ambayo yatalinda afya za mzunguko wa hedhi #menstrualperiods ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ†. . . . . Pia tulijifunza recipe za #healthyjuice ambazo zinalenga kuondoa sumu mwilini na kuongeza nguvu za kiume ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Hakika hili lilikua sio darasa la kukosa!. . . . . Kipekee tunamshukuru sana Mhe. Zainab Katimba (Mb.) kuja na kumuunga mkono @neemalugangira na kujitolea kumsaidia kuratibu darasa la leo kwa maana ya kuwa #ChefMsaidizi ๐Ÿ’š. . . . . Linda afya yako, anza leo kwa kujiunga na #healthymaisha #healthy #hedhi #fertility #healthymeals #nguvuzakiume #menstrualperiod #fertilityboost

3

healthymaisha

#foodismedicine #fruits #vegetables #healthy #healthymaisha #healthyfood . . . .#HealthyMaisha tunawaletea #online klub za afya #healthyclubs kwa lengo la kujenga uelewa wa namna ambavyo lishe inaweza kutumika katika kusaidia kwenye changamoto za kiafya kama #Kisukari #Presha #MatatizoYaNgozi #UneneKwaWatoto #UneneKwaWatuWazima #UpungufuWaDamu #UzitoMdogoKwaWatoto #MatatizoYaUzazi #NguvuZaKiume . . . . Ili uweze kujiunga, tafadhali tutumie jina lako, namba ya simu na eneo la afya ambalo ungependa kupata uelewa huu ili tuweze kukusajili katika #healthyclubs . . . . Ni BURE hivyo wahi sasa iili uwe na uhakika na nafasi yako maana nafasi ni chache. . . . #healthymaisha #healthyjuice #healthyclubs #healthymeals #healthymarket #healthycooking #raisingnutritionawareness #healthyjuice #healthy #healthyjuicing #transformingyourlife #togetherletsbringhealthyback #nutripreneur #scalingupnutrition #sunpitchcompinnovationawardwinner #endorsedbyapresident

2

healthymaisha

Wengi wetu tunamadai yakutokuwa wanene๐Ÿ˜œ, lakini kwenye utumbo wetu tumebeba mpaka kilo 5 za uchafu,sumu zinazosababishwa na lishe mbovu, pombe,madawa n.k.๐Ÿป๐Ÿท . . . . . Jiunge na #healthymaisha; ujifunze vyakula na #healthyjuice recipe za kusafisha na kuondoa sumu mwilini ili uweze kuepuka magonjwa, kuongezeka uzito na matatizo yanayo sababishwa kutokana na uchafu na sumu kali mwilini...๐Ÿค’๐Ÿคฎ . . . . .Tuandikie DM au tupigie simu 0764223078 kwa ajili ya kujiunga na program yetu ya miezi 6 yakusafisha na kuondoa sumu mwilini kwa kutumia vyakula na juisi zenye afya๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ . . . . .#healthymaisha #healthyjuice #healthyclubs #healthymeals #healthymarket #healthycooking #raisingnutritionawareness #fruitsandvegetables #juicecleanse #juicecleansechallenge #onlinenutritionhealthcoaching #healthyjuice #healthy #healthyjuicing #transformingyourlife #togetherletsbringhealthyback

0

healthymaisha

#healthylunchonabudget ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅkaribu ujipatie vyakula vya kuimarisha afya yako . . . .#tunaimarishaafyayako #jengamwiliwaafya #healthymaisha #healthylunchonabudget #healthytanzania

0

healthymaisha

Did the #mondayblues๐Ÿ’™ get to you?? Fight them with these #healthy soldiers and be more happy ๐Ÿ˜Š๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’š There's no room for negative moods anymore๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ’š #healthymaisha #mood #healthylifestyle #moodlifters

1

healthymaisha

Tutembelee ๐Ÿ’š๐Ÿ˜Š Tunapatikana barabara ya Chole, mkabala na barabara ya kwende Slipway/DoubleTree karibia na ofisi za Nabaki Afrika Masaki, Dar es Salaam ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Tuko wazi kila siku za wiki kuanzia saa 9:30asubui ๐Ÿ™๐Ÿ™ . . .. #healthymaisha tuna vyakula vya kuimarisha afya yako na ya familia yako ๐Ÿ˜‹๐Ÿ’š๐Ÿ’š Piga 0764223078 kuweka order yako ya kesho Lunch๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Haturudii menu mwezi mzima; na kila menu inakuja na chupa ya #healthyjuice; juisi zetu ni za kuimarisha na kusafisha mwili wako, karibu . . . . . . #tunaimarishaafyayako #jengamwiliwaafya #healthymaisha #healthylunchonabudget #healthytanzania

4

healthymaisha

We love #Twitter and naturally we had to be part of the "Tanzanians On Twitter Family Bonanza" #TOTBonanza at #KijitonyamaSportsGrounds ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ. . . . . Our dedicated #TeamKaziKazi attended the #TOTBonanza and indeed we had a spendid time serving our powerful #healthyjuices ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’š . . . Credit to #TOTBonanza Team for extending a special invitation to us to be part of this first of its kind event ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. . . . . Our aim is to help people living in urban areas under quick and easy ways to get all the vitamins and minerals they need through our #healthyjuices that have high benefit to your #healthy nutrition life!! ... ... #sportsbonanza #tanzaniansontwitter #healthyjuice #healthylife #healthymaisha #TOTBonanza #kijitonyamasportsgrounds #Tanzania #healthyteam #urbannutrition

1

healthymaisha

How do you like your #granola recipe? This is one of our newly products; This is because ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ . . . . . Granola is an extremely popular #Breakfast and snackย foodย with a wealth of #health benefits, including its ability to lowerย cholesterol, regulateย digestion, aid inย weight loss, and improveย heartย health. It also helpsย increase energy, preventย anemia, and promote proper organ function. Intake of granola also helps lowerย blood pressure, increase cognitive activity, improveย skinย quality, build stronger bones, manageย diabetes, stimulate new tissue and hormonal growth, and even preventย cancer. . . . . . DM us inorder to get your own #granola from Healthymaisha ๐Ÿ’š๐Ÿ’š Price:: Granola 15,000 Tshs per packet ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ . . . . #healthylunchonabudget #healthymaisha #healthylunches #healthycooking #jam #chilli #granola #chiaseeds #healthytanzania

0

healthymaisha

"How a physical 'curse' turned into a blessing" ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ This is the head story on the Daily News' Women Magazine about our very own Queen & Nutrition Health Coach @neemalugangira ๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š She speaks all about her healthy transformation journey and how she got endorsed by H. E. Retired President @jakayakikwete after serving him our #healthyjuice and how she founded #healthymaisha and @agrithamani . .. .. The story goes on and on inspiring you not to quit on your journey๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Don't miss out๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ . . Read the full article on todays 6th December 2018 Daily News and be inspired by @neemalugangira's epic story

1

sz_applecidervinegar

Wanaojua wanaongea. Feedback toka kwa mteja wetu. Usiwaze sana bei zetu ni nafuu mno. Karibuni sana. Wateja wetu wa jumla tunapenda kuwataarifu kwamba mzigo umebaki kidogo mno. Hakikisha unaconfirm order yako mapema ili kuepuka usumbufu na lawama. Tunawapenda sana. #organic #instagood #instapreneur๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #healthyvendors #healthymaisha #healthylifestyle

3

yoghurt_lishe

Karibuni kwenye night market itakayofanyika Disemba 8,2018 kuanzia saa 11 jioni hadi saa 5 usiku maeneo ya Kahama Road ,kwa maelezo zaidi follow @wateringhole_patio na @healthymaisha #yoghurtlishe tutakuwepo na vendor wengine , #yoghurtlishe kupitia #healthymaisha tumepata nafasi ya kushiriki na tunawaandalia mambo mazurii msikose kufika ๐Ÿ™ follow @healthymaisha @healthymaisha kwa ajili ya ushiriki na vendors wote wanaojihusisha na ujasiriamali na products za lishe ushiriki ni 25,000 Tshs . Shukrani kwa @wateringhole_patio na @healthymaisha kwa kuandaa market hii ๐Ÿ™ ..kwa maelezo na namna ya kushiriki piga simu 0782 50 22 55

0

healthymaisha

#healthymaisha tunawaletea product zetu #chiaseeds #granola #passionfruitjam #chilli kwa bei nafuu kabisa . . . Tupigie simu kupitia 0764223078 au tuandikie DM ili uweze kufurahi bidhaa bora kabisa za kuimarisha afya yako ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ˜Ž.... . . . . Au tutembelee #healthystudio yetu ipo Chole Road Masaki opposite barabara ya kwenda Slipway karibu na ofisi za Nabaki Afrika ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ . . . * *Bei zetu ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. . . . . (1) Chia Seeds 5,000 Tshs kwa packet 1. . . . . (2) Granola 15,000 Tshs kwa packet 1. . . . . (3) Passion Fruit Jam 13,000 Tshs kwa 1. . . . . (4) Chilli 10,000 Tshs kwa 1. . . . . #healthylunchonabudget #healthymaisha #healthylunches #healthycooking #jam #chilli #granola #chiaseeds #healthytanzania

2

healthymaisha

#December1st is World Aids Day; we stand with the world in fighting Aids.โš’๏ธ๐ŸŽ€๐ŸŽ—๏ธ . . ... #healthymaisha #healthytanzania #healthyafrica #stopaidsโœ‹โŒ #worldaidsday2018 #gettestedtoday

0