Hamisamobeto Photos & Videos on Instagram

Report inappropriate content

allstarstz

Anaitwa @hamisamobetto fire kabisa mtoto mkali.. #hamisastyles #hamisamobeto

11

mobettohtothetop

#Repost @mangekimambi_ β€’ β€’ β€’ Unapoona familia ya kiislam hata mwezi wa Ramadhan hawana uwoga nao. Yani hata mwezi wa Ramadhan bado wanaendelea na visa, matusi, kejeli, chuki, husda, fitna, roho mbaya, dharau basi mtu inabidi uelewe unadili na watu wa aina gani. . . Seriously mwezi wa Ramadhan wale bado wanachamba na kumdhalilisha mwanamke mwenzao. Yani hawana hofu ya Mungu hata mwezi huu ambao hata sisi tulioshindikana tumekituliza..Yani nashindwa hata kuwasema the way natamani niwaseme πŸ€£πŸ˜‚.... . . Kutwa kuwapambanisha watoto wa wenzao huyu anajua kupika, huyu hajui, huyu mchafu, huyu msafi wao wanajua kupika? Wao wasafi? Mbona wao hawanyanyaswi au kudhalilishwa na ndugu za waume zao? Ila Mungu ni mkali sana @mama_mobetto siku hizi zilizobaki za mwezi mtukufu kazana na dua, mlilie Allah siku hizi zilizobaki. Wakabidhi kwake!! Usiwaombeee mabaya ila wakabidhi tu. Hizi dharau zote kwa wanawake wenzao sababu tu Allah kamwonyesha Neema ndugu yao?? Allah asingempa mafanikio ndugu yao je wangekuwa na dharau hizi? Hawa wanamletea nuksi ndugu yao. . . Pia Mungu keshaanza kujibu, Esma yuko busy na mahusiano ya kakake alafu mume wake laki moja hana mpaka anaweka passport rehani. Hizo zote ni fimbo Mungu anawachapa. Imagine kutwa mtoto wa mwenzenu yuko mdomoni alafu waume zenu laki hawana huo muda si mngeutumia kwa waume zenu ili wasiathirike? Kama nilivyosema nifimbo ya Mungu. Wao si wamemdhalilisha Hamisa sasa wao wanadhalilika mara mbili ya Hamisa. . . Ila wale jamani sijui waislamu wa wapi wale. Yani hawana woga na mwezi mtukufu. Wengine hata kuandika shenzi hatuwezi ila wale wakavuuuuuuuu tena kwenye macamera, yani hawajali. Ndio sisi wote ni watenda dhambi so we cant judge each other ila muislam ambae hata mwezi mtukufu anaendelea na matendo yake ya kila siku huyo sio mzima. #hamisamobeto #hamisamobeto

0

mobettohtothetop

#Repost @kikiake04 β€’ β€’ β€’ Do yo think to be a CHAMP is easy TASK? πŸ˜€πŸ˜ LOL' anyway, KUKOSA NI UBINADAMU HAKUPUNGIZI THAMANI lkn pili life is too short to REGRET so DO NOT, TATU you stil young and byutiful so RELAX. MWISHO CHUKUA SOMO KWA @elizabethmichaelofficial changamoto alikutana nazo for years wewe hujawah hata fikia nusu yake... lkn tazama changamoto hizo hizo namna ambavyo kakabiliana nazo ktk kujijenga na kuwa a better person today.... nani hakumbuki uchakaramu wake? But see her today' kawa MWANAMKE MWENYE KUJIAMINI NA KUJIHESHIMU... BUSARA YAKE NA HEKIMA VIMEONGEZEKA KWA KIASI KIKUBWA SANA... AMEKUA MTU MWENYE UPEO MKUBWA MNO... LKN WENGI HAWAJUI SIRI YA LULU, wapo wanaodhani eti kafunzwa na ULIMWENGU nooooo... Lulu alijua kukabiliana na changamoto katka misingi itakayo jenga maisha yake zaidi na si kumpoteza zaidi Mi pia nimejifunza toka kwake so plz HAMISA LIA, FUTA MACHOZI, MAISHA YAENDELE.. ANGALIA ULIPOANGUKIA JIPANGUSE INUKA THEN JILIPIZE KISASI... YES JILIPIZE KISASI... HAKUNA KISASI KIKALI KAMA MAFANIKIO... #FANIKIWA #FANIKIWA #FANIKIWA ukiendelea kujiattack na past future haitakufadhili vyema. #FANIKIWAHAMISA ❀ #hamisamobeto

1

mobettohtothetop

Morning baby Nakupenda @hamisamobeto_memes #Repost @hamisamobeto_memes β€’ β€’ β€’ Good morning..Kwa akili zangu za kitoto nimegundua kuwa kwa sasa kiki Mjini ni my sister Misa.. Bila Misa huwezi pata followers,page za matusi, wanaopoteza page wanataka kurudi ni kumuedit na kumtukana misa wanapata kiki,wametowa Nyimbo wasafi ni mwanzo mwisho vijembe kwa hamisamobetto wameweza kuikikisha nyimbo,kweli kila jambo na wakati, Misa huna la kulaumu huu ni wakati wako wa kuinuliwa,fanya mambo yako pambana na fungua project nyingine,mpaka ukifikia umri WA 30 watu wanakuweka kwenye level nyingine kabisa,haya matusi na masimango mama yangu anasemaga ndio Bless zenyewe unatakiwa upambane ili wasipate cha kuongea.. Yanawatoka km family sisi tulikuwa hatujui km baba dee anakupenda hivyo mpaka wanaandamana.. Don't lose hope my dear.. Love u @hamisamobetto.. @hamisamobetto @hamisanation @hamisanation @mobetto_my_bff @hamisamobetto_cute_boss @misah_msweeety_love @hamisamobetto_love @hamisazworld @hamisamobettocute @remz3505 @hamisamobetto_slays @hamisareplies @hamisa_my_princess @hamismobbeto @hamisamobetto_bossbabe @hamisa_mobbetto @hamisaamobetto_ @hamisa_mobeto_iloveyou @hamisa_mobeto @hamisa_mobetto_love @makorokochokocho_2016 @babutale @_esmaplatnumz @diamondplatnumz @dizzimonline @hamisamobetto_tz @misah_msweeety_love @mobettohtothetop @misah_love_daily @misa_barbie_doll @nellynathani @misa_is_bae @abbiegic333 @mama_mobetto @mama_dangote @veememez @jokateslays @vanessamdeenation @wemakingdaily @wema_memes @khaletaniya @wemaz_advocate @wemakiuno @jaymaudaku @carrymastory Watag wengine wanaokubali hili na pia mwambieni hamisa apambane avuke afanye mengi zaidi ya haya #hamisamobeto #hamisamobetto

0

bongo_live

Nyumba anyaoishi video vixen @officiallyyn inayosemekana kapewa na #diamondplatnamz akizungumzia kwamba hamtambui #hamisamobeto wala hajawahi kusikia #Diamondplatnamz akimzungumia. Huku akidai kwamba diamond ni mtu wake.

0

udaku_dsm

Duhhhh πŸ˜‚πŸ˜‚ 😀😀😀Irene anasema Nyumba kapewa na #DiamondPlatnumz? asema hajui #HamisaMobeto ni nani kwa Diamond, amtaja SIMBA kuwa ndio Mwanaume wake. Mhhhhhhhhhhh!!!!!!!!! ☹️🧐😭 Au ndo KIKI alosema Mange?😏.... πŸ˜‚πŸ˜‚ Nini hii? Kama mimi ndo ningekua #hmisamobetto ninge kamata hii mbuzi #Irene ningeitali bila ganzi Mamayeer πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚ Sio kwa kujichebedua ivyooo mweeeh! πŸ˜‚πŸ˜‚

4

african_princes_

1

bongogossip

MKALIΒ wa sinema za Kibongo, #AuntEzekiel amefungukia kuhusiana na ishu ya kushonewa nguo na mwanamitindo #HamisaMobeto, ambayo aliiva siku ya uzinduzi wa filamu yake na kusema kuwa kwa upande wake haoni shida yoyote kwani akivaa nguo aliyoshonewa na mwanamitindo huyo si jambo la ajabu. _ #Aunt aliliambia Amani kuwa, anawashangaa wanaoshangaa ishu hiyo kwa sababu yeye na #Mobeto hawana ugomvi wowote na wala hajawahi kukosana naye, sasa kitakachomfanya ashindwe kuvaa nguo aliyomshonea ni kitu gani? _ πŸ‘‰β€œMimi ninawashangaa sana wanaoongea kuhusiana na kuvaa nguo ambayo nimeshonewa na Hamisa. Sioni tatizo kwani tofauti zake na mtu mwingine mimi hazinihusu,” alisema _ Watu wamekuwa wakimsema #Aunt mitandaoni wakihoji kuwa, anakuwaje karibu na #Mobeto anayedaiwa kutembea na Nasibu Abdul β€˜Diamond’ kwa sasa wakati yeye ni β€˜Team’ Zari (Zarina Hassan β€˜Zari The Boss Lady’, mpenzi wa zamani wa Diamond)! _ _ #Bongogossip

6

zarithebossledy

Yaan #hamisamobeto pamoja na kipigo bado anamfwata mondi mmmh kwa @diamondplatnumz una nn ww bro

0

swahili_madlipz

#king and #queen how cute they look #hamisamobeto in gold turban and #chibu in gold suit how amazing they look 100000000%%%%%%

0

allafricanhits

HAMISA: YES WE’RE BACK TOGETHER, BUT I’M NOT MARRYING DIAMOND PLATNUMZ - # #diamondplatnumz #djmajey #hamisamobeto #news #zarihassan #news

0

tanzania__daily

Sasa. Kwenye muonekano mpya kabisa @mama_mobetto @mobeto_forever #mobeto #hamisamobeto #voteforhamisamobeto _____________________________ Karibu tukushonee πŸ‘ŒπŸ½πŸŒŸ Kwa mahitaji ya kutengeneza Nguo za - Kitchen Party, :-Bridal Party :-SendOff :-Weddings :-Wedding Guest :-Bride Maids :-Maid of Honour :- Baby Shower :-Birthdays :-Red Carperts :-Graduations Na shughuli nyinginezo zote zinazohusisha kupendeza kimavazi...... Wasiliana nasi kupitia (Call/WhatsApp) No- 0677667788) Or follow us kwenye official page yetu ya instagram ya biashara @mobettostyles Karibu wote ❀️. . Fabric from @zidane_fabric_store πŸ’‹ #mobetoo #tanzania #tanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #tanzanianweddings #trending #trending #trendingnow #trendnails #trendingnow #tr #tr #tre #trendingdances #kwangsoo #kwangaru #kwangwaru #kwangwaru ______________________________powered by @tigo_tanzania 4G. Mtandao na. Smartphone bomba

2

tsumapowell

Style is everything or should i call it positioning , whether ya scaling ya brand or business or personality , how ya spruce that ? Spice it , mix it , paint it , depends wid ya passion and special care .... don let yaself down when yo could add sum bit of flavour and shake it up shake it off to show up to show out to show off #hamisamobeto #modelswanted #modellife #modele #modeling #mood #fashionvictim #fashionable #fashionnova #sexymodel

1

pulselivekenyalifestyle

1

africacablenetwork

#EastAfrican socialite,Β  #ZariHassanΒ exemplifies a woman of class. She just turned down a 2017 range rover gift to the surprise of many. She broke up with her husband three weeks ago, over what she termed as continued disrespect and infidelity. The exΒ  #DiamondPlatnumz, had been accused of siring with former #MissTanzaniaΒ  #HamisaMobeto a claim that came to pass after the musician-owned up. #Zari, however, denied having any knowledge of her crush. β€œI don’t know β€˜ #Ringtone’ and I have never met him. This is actually new to me”, @zarithebosslady says during her stay in Kenya forΒ Color Purple ConcertΒ that aimed at creating cancer awareness. Will #Zari buy into his lovey-dovey? Your Opinion Matters #YOM. Read more in BIO. #africacablenetwork #youropinionmatters #africanceleb #celebrity #tanzania #uganda #africa

1

pulselivekenyalifestyle

Hamisa Mobetto and Baby Fancy serving us maother and daughter goals! Don't they just look cute? . . . . . . . #Fashion #Trend #HamisaMobeto #BabyFancy #Dashiki #Pulselifestyle #Pulselivekenyalifestyle

1

zarimysuperstar

Miguu ya #hamisamobeto baada ya kuzaa na wanaume wenye hela.

5

african_princes_

1

african_princes_

3

african_princes_

4

mobbettolove

Zero player sasa ipo madukan jipatie nakala yako sasa unachelewa nn #hamisamobeto # ndohabari yamjini #mambonimotooπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

0

darmpya_blog

BONGO MOVIE #hamisamobeto@zeroplayer #bensonmpoki Support vya nyumbani

0

bryan4rever

0

bongo_live

Tunda akanusha juu ya bifu kati yake yeye na Hamisa mobeto. Asema hizo ni kiki tu zisizokuwa na Ukweli wowote. Kwa info zaidi endelea kufuatilia A/c hii. #follow @official_tunda @hamisamobetto #tundanation #hamisamobeto

0

odendamwa

Kila nkipita uku nasoma post mbalimbali za mastaa #diamondplatnumz #billnass #oficialnandy #zarithebosslady #hamisamobeto na #mangekimambi but kwa kuandika mangekimambi anaandika aise cjui Anaandika mwenyewe Au anaongea alafu yanajiandika @cijajua but mambo nπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

0

wise_wold

Malkia wa insta #hamisamobeto

0

bono_bakar

@KARIBU @BUSINESS @ONLINE. @TUPIGIE @0784691692 +358451276208 @0657789529 JE ! WEWE NI @DADA UNAEPATA @TABU KWA KUWA NA @MICHIRIZI @MAPAJANI,@MIKONONI, @KIUNONI @NASEHEMU @NYENGINE ..TUNAKULETEA @DAWA YAKUKUFANYA URUDI KATIKA HALI YAKO YAKAWAIDA NAKUWA MWENYE FURAHA TENA ..... DAWA ZETU NINAFUU NA ZINAKUFIKIA POPOTE ULIPO KWA ODA MAALUMU KUMBUKA BIDHAA ZETU ZINAUBORA WA KIMATAIFA NISALAMA NA ZINASAIDIA KWA MUDA MFUPI . #Ambelulu #sad_tz #fetylishe #hamisamobeto #wemasepetu #daimondplatnumz @officil_kisura @sarah_tz

0

bono_bakar

@KARIBU @BUSINESS @ONLINE @TUNAKULETEA @SIMARTPHONE ZAKISASA. KUTOKA @EUROP.. KWAKUTHAMINI @PESA YAKO @TUNAKULETEA, @BIDHAA ZENYE @UBORA WA @KIMATAIFA, USJALI UTAITAPA VIPI TUNAKULETEA MPAKA NYUMBANI KWAKO KWAODA MAALUMU @TUPIGIE +358451276208 @0784691692 @0657789529 #daimondplatnumz #tunda_tz #hamisamobeto #barnabaclassc

0

claireigaire

She is awsome... #hamisamobeto

0

the______prince_ryan

0

bongo_empire

#Tunda na #HamisaMobeto marafiki wakubwa wa marehemu #AgnessMasogange wakiwa #LeadersClubKinondoni kumsindikiza kipenzi chetu. #RipAgnessMasogange.

0

cloudsfmtz

#Tunda na #HamisaMobeto marafiki wakubwa wa marehemu #AgnessMasogange wakiwa #LeadersClubKinondoni kumsindikiza kipenzi chetu. #CloudsDigitalUpdates | #RipAgnessMasogange. Matukio yote haya ya napatikana #YouTube Chanel yetu #CloudsMedia

74

mobbettolove

Chaguo la moyoo #hamisamobeto #hamisamobetto

0

moranimusic_fanpage

0

morani_music

Jiandaeni kula ubwabwa! King Kapata jiko. Hongera sana bro Kiba!!! #kingkiba #kings #morani_music #morani #lovesinging #hamisamobeto #wemasepetu #musically #kingandqueen

0

morani_music

0

mr_lucaslumbasi

5

abbiegic333

Morning African 😍😍😍 #hamisamobeto #hamisamobeto

1

hamisamobettofan

Our cute princess 😍😍😍😍 @babyfansy #hamisamobeto #hamisamobeto

12

mattajiri

0

fortheloveofhamisa

0

nellisatv

0

officialalikiiba

From @shilolekiuno_official MWANANGU @ommydimpoz ASIKWAMBIE MTU KUMA LA MAMAAKE JANA KATIKA WATU WOTE WALIOALIKWA KWENYE HIYO PARTY YA WAUZA SURA YAAN WE PEKE YAKO NDIO UMEPENDEZA MZEE BABA TENA UMEFUNIKA KULIKO WASENGE WOTE WALIOKUWEPO HAPO YAAN UMEPIGA ZILE ZILE STYLES ANAZOPIGAGA #KINGKIBA AKIWAGA ANAENDAGA SEHEM KAMA HIZO YAAN SIMPLE TUU UWE UNAMFUNDISHAGA BASI NA #CHAIJABA KUVAA SIKU MOJA MOJA SIO KWA KI TAIT KILE ALICHOAZIMISHWA NA #HAMISAMOBETO YAAN KIMEMBANA KAMA VILE VISHOGA VINAVYOFATANAGA NA #WEMASEPETU PALE KWENYE STEGY ALIPOENDA KUPOKEA TUZO VILE AKINA #JUMALOKOLE NA WENZIE VIMEJAZANA KIBAO PALE UTASEMA VINAENDA KWENYE MASHINDANO YA KUTOA MJAMBIO YAAN VYENYEWE VIKO VIMBELE MBELE TU HAVIELEWEKI HADI NYUMBU WANGU #WEMA KENYEWE KANAONA MPAKA KERO ILA HAKASEMI TU πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ...HONGERA SANA BABA #OMMY UMEMUWAKILISHA VYEMA BOSS WAKO #ALIKIBA πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ #SALUTE

1

daiz_rutandula

Hii picha imetulia sanaaaaa. Ni pale @diamondplatnumz Na #hamisamobeto walipojikuta wamekutana kwenye stage

1

daiz_rutandula

Matukio kwenye picha @diamondplatnumz Na #hamisamobeto Supported by #Mikato_Entertainment

0

mikasatele

#diamondplatnumz $ #hamisamobeto wakiwa mliman city kwenye tuzo za sinema zetu

0

bongooland

0